Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.
AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO
Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)
- Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa
- Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)
0765 30 33 11
ITAENDELEA....................
TIZAMA VIDEO HAPA CHINI KJIFUNZA ZAIDI
0 Maoni