- Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
- Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
- Kuwa na mawazo mengi
- Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
- Kunywa pombe na vinywaji vikali
- Uvutaji wa sigara
- Kuto kula mlo kwa mpangilio
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili kama;-
- Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa kama ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
- Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
- Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
- Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
- Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
- Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
- Kushindwa kupumua vizuri.
JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO
- Kunywa maji mengi
- Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo
- Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)
- Usivute sigara
- Punguza au acha kunywa pombe
- Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
- Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9.
Dokta haruna anatibu matatizo ya vidonda vya tumbo, mpigie simu sasa hivi
0765 30 33 11
TIZAMA VIDEO HAPA CHINI KJIFUNZA ZAIDI
0 Maoni